Thursday, 15 June 2017

GRACE COLLEGE TUNAPENDA KUWATANGAZIA MUHULA MPYA WA MASOMO UTAKAONZA TAREHE 20/06/2017

KWA KOZI ZIFUATAZO1.Certificate in Hotel management (MIEZI SITA)2.Certificate in full Secretary (MWAKA MMOJA)3.Short course in basic computer (MIEZI MIWILI)4.English Course (MIEZI MITATU)5.Tour Guide Management (MWAKA MMOJA)6. Business Operation Assistant(MWAKA MMOJA)7.Information Technology-ICT (MWAKA MMOJA)8. Graphic Design (MIEZI MITATU)9. Website design and Develop (MIEZI MITATU)10.Computer Repair and Maintanance (MIEZI MITATU)


►Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu ►Chuo kinatoa huduma ya hostel kwa gharama nafuu


SIFA:KWA WANAFUNZI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA


TUPO MKOA WA MBEYA NYUMA YA BENKI KUU MKABALA NA CHUO KIKUU MZUMBE GRACE COLLEGE KWA MAFUNZO BORA NA CHUO KINAKUTAFUTIA KAZI


Kwa mawasiliano zaidi: 0742555944 / 0652547307

No comments:

Post a Comment

TUNAWATANGAZIA NAFASI YA MASOMO

              GRACE COLLEGE   BAADA YA KUFANYA MABORESHO YA KUTOSHA NA KUONGEZA KOZI MPYA GRACE COLLEGE  SAMBAMBA NA KUONGEZA VIFAA VYA...