Tuesday, 14 March 2017

NAFASI YA KAZI YA UALIMU WA HOTELI

NAFASI YA KAZI -NAFASI MBILI

Grace College ni chuo kilicho chini ya Kanisa la Neema Tanzania chenye usajili wa Mamlaka ya mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Chuo kipo Mtaa wa Forest karibu na Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya. Grace College tunatoa Kozi zifuatazo Uhazili(Secretarial) Mwaka Mmoja, Hoteli na Utalii (Hotel Management and Tourism) Miezi Sita, Utalii na Uongozi(Tourism and Management) Miezi Sita, Kozi Fupi za Kompyuta (Computer Courses) Miezi Miwili na Kozi za Lugha ( English and French Courses) Miezi Mitatu.  

Tunayofuraha kuwatangazia nafasi ya kazi  ya ualimu wa hoteli kwa wanafunzi wa ngazi ya Cheti,

SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe ana stashahada ya hoteli kutoka chuo chochote
2. Awe na sifa za kufundisha ama zifanano
3. Awe anajua kiingereza  kwa ufasaha
4. Awe na taaluma ya kutumia kompyuta
5. Awe na uwezo wa kufundisha kozi zote za hoteli

Barua ya maombi, CV na Nakala ya vyeti vyote vitumwe kwa Mkuu wa chuo kupitia barua pepe (Email) gracecollege2001@gmail.com 



No comments:

Post a Comment

TUNAWATANGAZIA NAFASI YA MASOMO

              GRACE COLLEGE   BAADA YA KUFANYA MABORESHO YA KUTOSHA NA KUONGEZA KOZI MPYA GRACE COLLEGE  SAMBAMBA NA KUONGEZA VIFAA VYA...